Luis Miquissone arejea kwenye makali yake UD Songo


Winga wa Mpira Luis Miquissone toka ajiunge na UD Songo akitokea mitaa ya Msimbazi Kariakoo amekuwa na kiwango bora sanaa kwenye ligi kuu ya Msumbiji.

Mpaka sasa Miquissone amecheza mechi 6 akiwa amefunga mabao manne, pia ameshinda tuzo 3 za mchezaji bora wa mechi

Ikumbukwe Miquissone alikuwa anaichezea Simba SC kwa mafanikio makubwa kabla ya kujiunga na Al Ahly ya Misri ambayo iliachana nayo na kurejea tena Simba kisha kumuacha kabla ya kurejea kwao Msumbiji



Fo

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI