Kipa wa Simba afunika Guinea

Mlinda mlango wa Simba SC Moussa Camara jana alianza kwenye kikosi cha kwanza na timu ya taifa ya Guinea na kuisaidia kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Ethiopia.

Camara alicheza dakika zote 90 alifanikiwa kucheza saves 4, Camara alikuwa akisotea benchi huku timi yake ikipoteza mechi zote mbili dhidi ya DR Congo na Tanzania


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI