Kipa. TP Mazembe aamua kuwa straika kuinusuru timu
Mlinda mlango wa klabu ya TP Mazembe Souleymane Shaibu ameamua nafasi yake ya kucheza na kuwa mshambuliaji msimu huu ili kunoa safu ya ushambuliaji ya klabu yake ambayo imekuwa ikiteseka tangu kuanza kwa michuano ya taifa.
Katika mechi ya leo ameingia mnamo dakika ya 65 wakati TP Mazembe ikiwa inaongoza jumla ya goli 3-0