Ibrahim Baka kuikosa Simba Jumamosi

Kuna uwezekano mkubwa beki wa kati wa mabingwa wa soka nchini Yanga SC Ibrahim Hamad "Baka" ataukosa mchezo wa watani dhidi ya Simba SC utakaochezwa Jumamosi uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam.

Akipost kwenye mtandao wake wa Instagram, Baka ameandika kwamba ameumia katika mchezo wa kufuzu AFCON dhidi ya DR Congo ambapo timu ya taifa ya Tanzania ilifungwa mabao 2-0.

Kukosekana kwake kwenye mchezo huo kunaweza kuwa pengo kubwa kwa Yanga ambao watakuwa wageni wa Simba katika mchezo huo ambao wanataka kulipa kisasi cha kufungwa mechi tatu mfululizo

Baka ameumia

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI