Harmonize arekodi 3 kwa mpigo

Msanii Harmonize, ameeleza jinsi alivyorekodi nyimbo tatu kwa usiku mmoja, akimshirikisha Nandy kwenye moja ya nyimbo hizo ambapo amesema kuwa yeye akiachwa huwa anaandika sana.

"Kama mnavyojua nikiwa kwenye kipindi kama hiki peni yangu inavyokuwaga
ya moto.

Msichelewe kuniacha kwa maslahi mapana ya muziki wetu na
taifa Kwa ujumlac Recorded 3 songs one nightpacha wangu
So Chaupole na post soon unanijua nikishalewa kama hii ya
@officialNandy BOMB0 CLAAAAAAA O" aliandika Harmonize.

Ikumbukwe kuwa mashabiki na wadau wengi wamekuwa wakisema Harmonize hutoa muziki bora zaidi baada ya kuachwa na wapenzi wake, hali inayoonekana kumchochea zaidi katika kuandika na kuimba muziki mzuri.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI