Diamond Platnumz ajitabiria kifo chake

MwimbajiDiamondPlatnumz amefunguka baada ya yote ambayo yanaendelea mitandaoni. Kupitia insta story yake leo, Chibu ameweka picha iliyoambatana na wimbo wa Drake “Legend” toka kwenye Mixtape yake “If Your Reading This It’s Too Late” ya mwaka 2015.

Ujumbe alioukusudia Diamond Platnumz toka kwenye mistari ya ngoma hiyo ni kwamba, hata siku akifariki na kuondoka duniani, anachokifahamu ni kwamba yeye ni Legend na ameacha alama kwa sababu ni kijana mdogo ambaye anaiwakilisha nchi.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI