Clara Luvanga azidi kung' ara Saudi Arabia


Mchezaji wa Tanzania, Clara Luvanga usiku wa jana ameiwezesha timu yake ya Al Nassr FC ya Saudi Arabia kupata ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya Al Amal katika mchezo wa Ligi Kuu.

Kwenye mchezo huo Clara amefunga goli moja, ikumbukwe Clara alikuwa anaichezea Yanga Princess ya Tanzania na timu ya taifa, Twiga Stars.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI