Cedric Kaze amfuata Nabi Kaizer Chief


Klabu ya Kaizer Chiefs imemtambulisha rasmi Cédric Kaze kama kocha msaidizi wa klabu hiyo akiungana na kocha Nasreddine Nabi ambae ni kocha mkuu wa klabu hiyo.

Wawili hao walikuwa pamoja kwenye klabu ya Yanga na wakaiwezesha kushinda mataji mawili ya ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania bara.

Kukutana tena Kaizer Chief kunaweza kuisaidia timu hiyo kurejea kwenye ubora wao kama ilivyokuwa kwa Yanga.




Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI