Alikamwe: Simba wasibadili msemo wao ubaya ubwela Jmosi

ALI Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wapinzani wao wasibadilishe maneno waendelee na kasi yao ileile ambayo walianza nayo mwanzo wa msimu kwa kutamba na sera yao ya Ubaya sijui nini kwani Oktoba ipo karibu.

"Wale ndugu zetu naona wameanza kuwa na heshima kidogo eti wanasema tunakwenda kukutana na timu kubwa, nilishangaa wao wakusema Yanga timu kubwa tangu lini? Walianza ubaya nini saizi naona wamepoa, sasa waendelee wasibadili maneno.

"Mwanzo wa msimu walijua kwamba hakutakuwa na Dabi, yale majina yao wanayotuita sijui Memkwa, wakina nani waite tena halafu tukikutana uwanjani tutawaonyesha kwa vitendo,".


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI