Ugonjwa wa Prof Jay wayabadili maisha ya mke wake
Mke wa mwanamuziki mkongwe wa Bongofleva Joseph Haule "Prof Jay" amedai ugonjwa wa mumewe umeyabadili maisha yake.
"Ugonjwa wa mume wangu umebadili maisha yangu ,mke wa mwanamuziki na mwanasiasa wa upinzani Prof Jay Professo Jay, anasema ni ‘lazima kwa yeye kuishi kama nyota’ huwa inamuwia vigumu sana kutenganisha maisha yake binafsi na maisha ya mume wake.