Mzamiru, Kagoma kuikosa Azam
Nyota wawili wa Simba SC ambao Yusuph Kagoma na Mzamiru Yassin hawatakuwa sehemu ya mchezo wa leo dhidi ya Azam Fc kukotana na majeraha ambayo yanawasumbua.
Kauli hiyo imethibitishwa na Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmedy Ally kuwa kukosekana kwa wachezaji kama hao ni pengo kubwa lakini Simba ni timu kubwa na pia inawachezaji wengi.