Kocha Azam adai magoli yote ya Simba ni off side
KOCHA wa Azam FC Rachid Taoussi raia wa Morocco amedai magoli yote waliyofungwa na Simba yalikuwa off side na amesisitiza haraka sana iletwe VAR.
“Tunahitaji VAR magoli yote mawili ni offside za wazi , Simba ni timu kubwa hilo hatukatai niwapongeze wachezaji wangu lakini kwanini offside ni kwetu tu”
Maneno ya Rachid Taoussi kocha mkuu wa Azam FC baada ya kumalizika kwa mchezo.