Kitasa cha Yanga, atambulishwa ST George
Beki wa zamani wa klabu ya Yanga SC ,Gift Fred ametambulishwa rasmi katika klabu yake mpya ya St George inayoshiriki Ligi Kuu nchini Ethiopia.
Gift ameachwa na Yanga ili kumpisha Jean Baleke, alikuwa miongoni mwa mabeki wanaounda safu ya ulinzi ya timu hiyo uliochini ya Ibrahim Baka