Fountain Gate yaendeleza vichapo Ligi Kuu bara
Fountain Gate wanakwea kileleni mwa Msimamo wa NBCPL baada ya kuwachapa Kagera Sugar mabao 3-1 kwenye uwanja wao wa Nyumbani wa Tanzanite Mjini Babati.
Mabao ya Fountain Gate yamefungwa na Suleiman Mwalimu, Salum Kihimbwa na Elie Makono, goli la kufuta machozi la Kagera Sugar limefungwa na Obrey Chirwa