Fiston Mayele atua Real Madrid
Mshambuliaji wa DR Congo na Pyramids FC Mayele alitembelea Santiago Bernabéu na kupiga picha na kombe la UEFA Champions League.
Mayele anaichezea Pyramids ya Misri lakini amewahi kuichezea Yanga SC ya Tanzania na AS Vita Club ya DR Congo