Camara aitwa tena timu ya taifa
Golikipawa Simba Sports Club, Moussa Pinpin Camara ameitwa timu ya taifa ya Guinea kujiandaa na michezo miwili ya kufuzu AFCON dhidi ya Ethiopia.
Guinea dhidi ya Ethiopia mechi ya kwanza itachezwa Oct 12 na mechi ya pili Oct 15,2024.