Zuchu amzawadia gari Anjela
Msanii maarufu wa lebo ya WCB Zuchu amemzawadia gari aina ya Crown msanii mwenzake Anjela aliyekuwa lebo ya Konde Gang iliyochini ya Harmonize.
Japo wengi walidhani ni mzaha na kiki, Msanii wa Bongofleva Zuchu ametimiza ahadi ya kumnunulia msanii mwenzake Anjela gari aina ya Crown