Wydad Casablanca bado inahaha kumnasa Mzize

Wydad Casablanca hapo jana imepoteza mchezo wake wa kwanza wa Ligi kuu Nchini Morocco Maarufu kama Botola Pro.

Wydad iliyosheheni wachezaji wapya na Benchi la ufundi jipya bado wanakazi ya kufanya kuhakikisha wanarejea katika ubora wao wakawaida.

Baada ya kupoteza mchezo huo mashabiki wa Wydad Casablanca wameishinikiza klabu hiyo kumsajili mshambuliaji wa kimataifa kutoka Tanzania Clement Mzize.

Bado nafasi ipo ya kumsajili kwani dirisha la usajili linafungwa September 19 2024.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA