UEFA kumpa tuzo maalum Cristiano Ronaldo
Cristiano Ronaldo atapokewa tuzo maalumu kutoka Chama cha soka Barani ulaya(UEFA) ya kuwa mchezaji bora wa muda wowote katika mashindano ya ligi ya mabingwa na kuwa mfungaji wa muda wowote wa mashindano ya ligi ya mabigwa barani ulaya.
Tuzo hiyo atapewa siku ya Alhamisi ambapo itakuwa na sherehe za upangaji wa makundi ya ligi ya mabingwa ulaya yatayofanyika Monacco.