#TupoNaMama. Barabara za kiwango cha lami zajengwa mkoa Pwani
Mtandao wa barabara za lami nchi nzima unazipi kupanuka na sasa mkoa Pwani unaendelea kujengwa, ambapo barabara za lami za kiwango cha juu zinazidi kujengwa.
Jitihada kubwa zinazofanywa na Rais wa awamu ya sita wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan zimezidi kuchukua nafasi.
Mkoa Pwani ulikabiliwa na uchakavu wa barabara zake ambazo nyingi hazikuwekwa lami, lakini mhe Samia amejibu maombi yao na sasa barabara za kiwango cha lami zinajengwa kila kijiji cha mkoa huo.
Hongera sana mhe Rais Samia umejibu maombi ya Pwani