MVP wa Simba aumia ghafla, kuikosa Al Hilal kesho

Taarifa za kuaminika ni kuwa kiungo mshambuliaji Jean Charles Ahoua atakosekana katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki kati ya Simba dhidi ya Al Hilal ya Sudan.

Jean Charles Ahoua atakosekana katika mchezo huo kwasababu ya majeraha ambayo ameyapata.

Wakati huo huo kiungo mwingine wa Simba, Mkongoman Fabrice Ngoma ataukosa mchezo huo baada ya kuondoka kikosini kuelekea nyumbani kwao DR Congo ambapo ana matatizo ya kifamilia


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI