Msuva, Samatta watemwa Stars, Job arejeshwa
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania kitakachoingia kambini kujiandaa na michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025 dhidi ya Ethiopia na Guinea.
Simon Msuva (30) na Mbwana Samatta (31) wote wamekosekana kwenye kikosi hicho.
Dickson Job amerejeshwa kikosini.