Mdaka mishale wa Simba aitwa timu ya taifa
Golikipa wa Simba SC Moussa Pinpin Camara (25) ameitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Guinea kitakachocheza mechi mbili za kufuzu AFCON 2025.
Mchezo wao dhidi ya DR Congo na Tanzania, Camara anatajwa kuwa kipa namba mbili wa timu ya taifa