JB akiri Mariam ni staa wa kike bongomuvie
"Naomba nikiri leo kuwa Mariam Ismail ni mmoja kati ya waigizaji watatu wa kike ambao wakiwa set naduwaa kuwaangalia na nikipangwa nao najiandaa kwa muda mrefu. Hajawahi kupata tuzo masikini wala hana followers wengi, lakini kwangu ni mmoja wa waigizaji bora tulionao" ~JB, Muigizaji filamu Bongo.
"Mungu akupe afya njema uzidi kutupa raha, jamani sio Birthday yake, nimejisikia tu kumpa maua yake na nitakuwa na utaratibu huu wa kuwapa maua na wengine " ~JB.