Huyu ndio mzee Ally Pazi Samatta
Huyu anaitwa Ally Pazi Samatta
Baba yake Mbwana Samatta
Huyu Mzee alizaliwa 1943 Mkoani Pwani.
Enzi yake alikuwa mwajiliwa wa jeshi la Polisi
Mzee Samatta alicheza sehemu ya ushambuliaji namba 10.
Timu alizochezea timu ya Polisi Moro 1962- 1963
Canada Dry 1963-1964
Simba (Sunderland) 1964-1965
Cosmopolitan 1968-1969.
Pia alichezea timu ya Taifa, Taifa Stars na ile ya bara