Hatimaye Haji Manara awa Mtendaji mkuu wa hamasa Yanga Fans
Uongozi wa klab ya Yanga rasmi umembadilishia majukumu aliyekuwa msemaji wa Yanga Haji Sunday Manara na kuwa Mtendaji mkuu wa Kitengo hamasa ndani ya Yanga FANS ENGAGEMENTS,
Sasa Haji anaenda Kuongeza Nguvu ili kuisaidia Mabadiliko ndani ya klab ya Yanga kwenye zoezi la Usajili wa wanachama na mashabiki wa Yanga.