CEO Namungo aamua kujiuzuru
CEO wa Namungo FC, Omar Kaya amejiuzulu nafasi yake ndani ya Namungo FC kwa kuandikia barua baada ya kupoteza michezo miwili mfululizo kwenye ligi.
Kaaya smbaye pia aliwahi kuwa katibu wa klabu ya Yanga SC, aliamua kujiuzuru baada ya Namungo kufanya vibaya mfululizo.
"Mimi Omar Kaya leo (Jana) Agosti 30, 2024 nimewasilisha barua ya kujiuzulu nafasi ya utendaji mkuu wa Namungo FC."- Omar Kaya