CEO Bodi ya Ligi asema VAR rasmi kutumika Ligi Kuu
CEO wa Bodi ya Ligi kuu (TPBL) Almas Kasongo amesema VAR imeshafika Tanzania na imetolewa na CAF na tayari waamuzi wameshaanza mafunzo maalum ya kutumia kwenye michezo ya NBC Premier League na mafunzo yakishakamilika watapata kibali cha matumizi yake kutoka FIFA na CAF.
.