Aziz Andambwile amjibu Awesu Awesu
Baada ya mchezaji mpya wa timu ya Simba SC Awesu Awesu kuposti akiwa na gari lake alilonunua kutokana na fedha za usajili alizopewa na Simba, nyota mwenzake Aziz Andambwile amemjibu kwa kuposti picha yake akiwa na gari lake.