Awesu Awesu akiwa na ndinga lake
Kiungo mshambuliaji wa Simba SC Awesu Ally Awesu ameposti akiwa na ndinga lake (crown) alilonunua baada ya kusajiliwa na Wekundu hao wa Msimbazi.
Baadhi ya watu wanasema kwamba gari aliloposti Awesu alinunuliwa na Rais wa Yanga, Injinia Hersi, ingawa hakuna uhakika kama ni kweli.
Mambo Uwanjani Blog inafahamu kwamba Awesu amevuna mpunga wa maana Simba SC