AL AHLI TRIPOLI YARUHUSIWA KUMTUMIA MABULULU, SIMBA KAZI WANAYO
Klabu ya Al-Ahli Tripoli imethibitisha kuwa wamepata kibali kutoka CAF cha kumtumia mshambuliaji wao mpya Mabululu,
Mabululu alisajiliwa katika dirisha hili kubwa lililopita akitokea Al-Ittihad ya Egypt hakucheza mechi yoyote kwa sababu hakuwa na vibali, wameruhusiwa kumtumia kuanzia mechi zijazo za CAF.
Takwimu zake za ligi kuu ya Egypt akiwa Al-Ittihad katika misimu 3
Season : 23/24
Magoli 11 (mfungaji wa sita)
Assist 5
Season : 22/23
Magoli 16
Asist 1
Season : 21/22
Magoli 13
Assist 2