Yanga watambulisha jezi za mpya 2024/2025
Mabingwa wa soka Tanzania bara Yanga SC leo wametambulisha jezi zao mpya ambazo watazitumia msimu ujao.
Agosti 4 mwaka huu Yanga wataadhimisha tamasha lao la Wiki ya Wananchi ambapo mbali ya kutambulisha kikosi chao pia watatambulisha na jezi zao mpya zenye rangi ya njano, kijani na nyeusi