Yanga sasa kucheza na bingwa wa Kagame, wiki ya Wananchi

Klabu ya Yanga imetangaza kwamba watacheza dhidi ya Mabingwa wa Michuano ya KAGAME Cup,Red Arrows kutoka Zambia kwenye Kilele cha Wiki ya Mwananchi kitakachofanyika Agosti 04,2024 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Awali klabu ya Yanga iliwaandikia maombi Wydad Casablanca ili kusudi wakutane nao katika wiki ya Wananchi lakini imeshindikana na sasa watakutana na mabingwa wa kombe la Kagame Cup, Red Arrows ya Zambia


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA