Yammi amtaja Mbosso
Msanii Yammi ameweka wazi kuwa na mahusiano ya Kimapenzi na Mbosso, Sio siri tena Yammi amemtaja Mpenzi wake akiwa katikati ya mahojiano na waandishi wa habari.
Amefunguka hayo pindi alipokutana na surprise ya Msemaji "BabaLevo" ambaye alikuja kufuta kitendawili cha Mwanaume ambaye.
Yammi anasema yupo nae kwa sasa akiwa mwenye furaha nzito....
Kwa mujibu wa Baba Levo anadai kuwa Yammi yupo kwenye Penzi zito na Mwanamuziki kutoka WCB "Mbosso".