Stephanie Aziz Ki aweka rekodi Ligi Kuu bara tangu 2005
Wafungaji bora Ligi Kuu Tanzania bara tangu mwaka 2004 | 5 hadi sasa (20 yrs) :
◉ 2005 - Abu. Mkangwa ›› Mtibwa - 16
◉ 2006 - Isse Abshir ›› Simba - 19
◉ 2007 - Abdallah Juma ›› Mtibwa - 20
◉ 2008 - M. Katende ›› Kagera - 11
◉ 2009 - Boni Ambani ›› Yanga - 18
◉ 2010 - Mussa Mgosi ›› Simba - 18
◉ 2011 - Mrisho Ngassa ›› Azam - 18
◉ 2012 - John Bocco ›› Azam - 19
◉ 2013 - Kipre Tchetche ›› Azam - 17
◉ 2014 - Amiss Tambwe ›› Simba - 19
◉ 2015 - Simon Msuva ›› Yanga - 17
◉ 2016 - Amiss Tambwe ›› Yanga - 21
◉ 2017 - Msuva & Abdulrahman - 14
◉ 2018 - Emmanuel Okwi ›› Simba - 20
◉ 2019 - Meddie Kagere ›› Simba - 23
◉ 2020 - Meddie Kagere ›› Simba - 22
◉ 2021 - John Bocco ›› Simba - 16
◉ 2022 - George Mpole ›› Geita - 17
◉ 2023 - Mayele & Ntibazonkiza - 17
◉ 2024 - Stephane Aziz Ki ›› Yanga - 21
◉ 2025 - ?!
Tangu uanzishwe mfumo wa timu (16), hakuna mchezaji aliyefunga magoli mengi ndani ya msimu (1) kuliko Aziz Ki.
John Bocco, Simon Msuva, Meddie Kagere na Amissi Tambwe ndio wachezaji pekee ndani ya miaka (20) waliotwaa kiatu cha dhahabu mara mbili.
Aziz Ki ndiye kiungo pekee aliyefunga magoli mengi zaidi ndani ya msimu mmoja kwenye historia ya Ligi Kuu Tanzania bara.