Simba yazindua jezi, neno Sanda laleta balaa
Klabu ya Simba SC leo imetambulisha jezi mpya watakazozitumia msimu ujao wa 2024/2025, lakini jezi hizo zimeleta tafrani baada ya neno la mbele kuandikwa "Sanda" jambo ambalo limewagawa mashabiki.
Simba leo imezindua wiki ya Simba Day kwenye mbuga ya wanyama ya Mikumi mkoani Morogoro, hata hivyo jezi za msimu huu ni bora kuliko za misimu yote iliyopita ila neno Sanda limeleta tafrani