Simba yasajili mbadala wa Lakred
Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya kumsajili golikipa wa timu ya Guinea, Moussa Camara mwenye umri wa miaka 25 kutoka Horoya AC ya Guinea.
Simba imeamua kumsajili kipa huyo baada ya kipa wake nambari moja Ayoub Lakred kuumia na atakaa nje kwa miezi sita na pia viongozi wa klabu wakishindwa kumuelewa kipa Aishi Manula