Nina deni na Yanga- Diamond Platinumz
"Nimepokewa vizuri sana tangu nijiunge Yanga nina raha tangu wakati huo hadi sasa. Kwa raha nilizopata toka niwe MWANANCHI nina zawadi yao, nahisi nina deni nao”
"Jezi za Yanga ni tofauti na wengine, unaweza kuvaa sehemu yoyote, hata kwenye show zangu nitavaa"
Diamond Platnumz akiongea na Azam TV