Matampi aungana na wenzake Coastal Union
Mlinda mlango wa Coastal Union,Ley Matampi [kulia] tayari amerejea nchini na atajiunga na wachezaji wenzake ambao tayari wameingia kambini kujiandaa na msimu mpya.
Msimu uliopita Ley alifanikiwa kupata cleansheet 15 Ligi Kuu na kuwapiku walinda milango wengine wote ndani ya jumba la ladha na hekaheka.