Mapya, Kibu Denis arudisha pesa zote za Simba
Kibu Denis amerudisha pesa zote za signing fee alizopewa na Simba SC kupitia Bank ya MMB kwenye account ya Simba,Kibu Denis yuko Norway kwa ajili ya mapumziko.
"Sisi tunamtambua Kibu Denis kuwa bado ni mchezaji wetu, mchezaji wetu mtoro"