Makambo apata timu Ujerumani
Mshambuliaji aliyewika na Mtibwa Sugar Under- 20 ambaye baadae alijiunga na Mashujaa FC ya Kigoma, Athumani Makambo amesajiliwa na klabu ya Darmstadt ya daraja la pili Ujerumani.
Makambo amesaini mkataba wa miaka mitatu, mshambuliaji huyo alionesha kiwango kikubwa na ilitabiriwa angefika mbali jambo ambalo limetimia