Kocha wa Wydad aula Saudi Arabia
Aliyekuwa kocha mkuu wa klabu ya Wydad Casablanca, Josef Zinnbauer amejiunga na klabu ya Al Wahda kuwa kocha mkuu ambayo imeshuka daraja katika Ligi Kuu nchini Saudi Arabia.
Josef alitimuliwa na Wydad Casablanca kutokana na mwenendo mbaya wa timu hiyo kwenye michuano yote ya ndani na nje na kuifanya timu hiyo kumaliza bila taji lolote.
Sasa Wydad imempa mikoba kocha wa zamani wa Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini Rulani Mokwena