Kimenya ajiunga Fountain Gate. Soma zaidi
Nyota wa zamani wa Mbeya City,Mtibwa Sugar na Dodoma Jiji FC,Salum Kihimbwa amejiunga na Fountain gates kama mchezaji huru kwa mkataba wa mwaka mmoja.
Fountain Gates imeweka kambi wilayani Babati Mkoa wa Manyara kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu Bara 2024/25