Irene Uwoya aitosa Yanga na kutupia jezi ya Simba

Mjadala mkubwa umeibuka mitandaoni baada ya mwigizaji wa filamu Irene Uwoya kuonekana akiwa ametupia Jezi ya Simba huku walio wengi wakidai kwamba yeye ni Yanga damu na ushahidi wa video yake ukiwekwa hadharani.

Lakini staa huyo wa filamu ameonekana kuvalia jezi mpya ya Simba SC na slipoulizwa kwanini amevaa. Jezi ya Simba wakati yeye ni Yanga akajibu kwamba amepewa azitamgaze kwakuwa yeye ni msanii.

*Kazi yangu inaniruhusu kuvaa jezi ya timu yoyote kama nikipewa tenda navaa na kuitangaza, lakini mimi ni Yanga damu", alisema staa huyo aliyewahi kuolewa na Dogo Janja na kubadili dini



Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA