Hii ndio timu iliyomteka Kibu Denis toka Simba SC
Klabu ya Kristiansund BK ya Norway imempa mualiko maalumu Kibu Denis ili kufanya majaribio. Akifuzu watamsajili. Atafanya majaribio hadi tarehe 8/8/2024.
Timu hiyo imegharamia safari,Chakula na malazi,Pia ipo tayari kumgharamia kwa jambo lolote.
Atafanya mazoezi na timu hiyo,na kucheza kwenye michezo ya kirafiki itakayokuwepo kwenye timu hiyo.