Diamond afanya balaa Barcelona
Msanii Diamond Platnumz amefanya shoo usiku wa kuamkia leo, Julai 29, Diamond alifanya shoo ya kibabe kabisa huko Barcelona, Uhispania kwenye event ya Afrobrunch.
Tukio linalojulikana kwa kuadhimisha muziki na tamaduni za Afrobeats.....
Sio mchezo, Diamond alipiga mzigo na kuacha mashabiki hoi na vichwa juu!, kwa kuimba nyimbo zake pendwa huku akipata mwitikio mkubwa kutoka kwao.
Hii ilikuwa ni show ya pili masaa kadhaa baada ya ku-perform kwenye show ya Afro Land huko Ujerumani, Julai 27