Alikamwe kumpisha Manara Yanga
Aliyekuwa Meneja wa Mawasiliano wa Klabu ya Yanga,Ally Kamwe baada ya kuhudumu kwa misimu miwili kama Meneja wa idara ya Habari na Mawasiliano Yanga SC,leo ameandika barua ya kujiuzulu nafasi hiyo baada ya kuitumikia kwa mafanikio.
Kamwe alianza kazi Yanga September 25,2022 ,leo July 29 amejiuzulu taarifa rasmi itatolewa muda wowote kuanzia sasa licha ya kuwa kwenye maongezi na Uongozi wa Yanga juu ya kuongeza Mkataba mpya lakini amesitisha rasmi suala hilo.