Aishi Manula kurejeshwa kikosini Simba SC

Kinachosubiriwa kwa sasa ni taarifa tu juu ya kurejea kikosini Simba SC na kuendelea na majukumu yake ya kila siku licha ya kukosekana kwa muda katika kipindi hiki cha Pre-season wakati Klabu hiyo ikiwa nchini Misri.

Aishi Manula aliachwa Tanzania pasipo kujua sababu yake, Ayoub Lakred ni Majeruhi na atakaa nje ya uwanja kwa zaidi ya mieiz mitatu.

Kwa sasa kitu ambacho kimewafanya Viongozi wa Simba kuamua kumrejesha Aishi Manula kikosini na kumfanya kuwa chaguo la Kwanza.

Tegemea tena kumuona Aishi Manula Langoni, Siku ya Tarehe 08, August.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA