Yanga yaifanyia umafia Azam
Mabingwa wa soka Tanzania bara Yanga SC imeendelea kuifanyia umafia Azam FC baada ya kumnyakua kinda wake Adolph Mtasingwa Biteko mwenye miaka 24.
Yanga imekamilisha usajili wa kiungo mkabaji huyo wa Azam, ambaye anatajwa kuwa bora pengine viungo wote wazawa