Yanga, Simba na Azam zajitoa Kagame Cup


Timu za Simba, Yanga na Azam FC wamewataarifu CECAFA kuwa hawatoweza kushiriki mashindano ya Kagame Cup kutokana na ratiba kutokuwa rafiki kwao.

Simba, Yanga na Azam zimepanga kufanya Pre Season nje ya Tanzania na wameshapanga ratiba zao na nchi watakazokwenda kujiandaa.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI